Naye Mwakilishi wa Kampuni ya Ball Park Construction Mhandisi Flowin Shawa amesema Kushinda kwa Tenda hiyo itaendana na Ushindi katika Utekelezaji wa Mradi huo wa Ujenzi wa Madarasa nane pamoja na Matundu kumi ya vyoo katika Shule ya Sekondari ya Namabengo iliyopo Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.