MWALIKO WA VITA KAWAWA WA MADAKTARI BINGWA WAMLETA PROF. JANABI NAMTUMBO
Tarehe ya Kuweka: August 2nd, 2024
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita kawawa ameongeza Tabasamu kwa Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo Baada ya Kuwaalika Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakiambatana na Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Prof. Janabi ili kuongeza Nguvu kwa Madaktari ambao waliweka kambi katikaKituo cha Afya Mtakanini kilichopo Wilayani Namtumbo.